Articles

IX Michezo ya La Francophonie: RTNC inatia saini mkataba...

Chini ya siku makumi Saba n'a tano(75 )kabla ya kuanza kwa michezo ya tisa ya Francophonie,...

Kinshasa: Ligi ya vijana ya UDPS inapanga maandamano ya...

Ligi ya vijana ya UPDS (Umoja wa Demokrasia na Maendeleo ya Kijamii) itakuwa katika...

DRC: « Mgogoro wa mihindi kule Katanga na Kasaï hautokani...

Akialikwa kwenye mkutano na waandishi wa habari jumatatu Mei taré kumi n'a tano...

Félix Tshisekedi anapuuzilia mbali chaguo la DRC kujiondoa...

Mkuu wa Nchi, Félix-Antoine Tshisekedi Tshilombo, alibadilishana na jumuiya ya Wa...

DRC: Sama Lukonde alimtangazia Kalehe ju ya kuwahurumia...

Ujumbe wa serikali unaoongozwa na Waziri Mkuu, Jean-Michel Sama Lukonde Kyenge,...

Kinshasa:  Katumbi, Fayulu, Matata na Sesanga waahirisha...

Viongozi wa upinzani Moïse Katumbi, Martin Fayulu, Augustin Matata Ponyo na Delly...

DRC: "Kama bajeti ya dola bilioni kumi n'a sita(16 )ni...

Corneille Nangaa anaendelea kukosoa mchakato wa uchaguzi unaoendelea katika Jamhuri...

DRC: Trésor Buti aahidi uongozi unaowajibika mara baada...

Mgombea urais wa muungano wa kampuni ya Kongo SEP Kongo, Trésor Buti amejiwekea...

RDC : APLC, ilizindua ma kazi ya mafunzo ju maadili ya...

Agence ya ukingo n'a kupiganisha rushwa ( APLC) ili zinduwa mafunzo apa mji mkuu...

Ushirikiano : Félix Tshisekedi alitembelea pale Botswana...

Raïs wa jamuhuri ya kidemocratia ya Congo, Félix -Antoine Tshisekedi Tshilombo,...

Mgogoro wa mihindi pâle mji Katanga : Patrick Muyaya anonesha...

Ulizo ju ya ufungufu wa mindi ndani ya Katanga n'a upande wa Kasaï ina sababisha...

RDC : Aminata Namasia alizinduwa kwa wazi mityani ya hors...

Waziri mfutwaye wa masomo ya primari , secondaire  n'a kiufundi (EPST), Aminata...

Tanganyika : Baraza la bunge ya jimbo ina amua  ju kotolewa...

Havana wa Jimbo ya Tanganyika, Julie Ngungwa, alitolewa na mbunge  la jimbo Léo...

Mji mkuu wa Kinshasa :tshumba tsha umeme(SNEL) inajaliwa...

Tshumba ya tahifa ya umeme inakuya tena kurudisha furah kwa idadi ya watu wa quartier...

Nord-Kivu : wajambazi Saba wa ADF wali bambwa n'a FARDC

Wa vipengele vya djeshi ya jamuhuri ya kidemocratia ya Congo ila bamba katika usiku...

Maniema : wakubwa wa jimbo ilo walinyazisha uvumo kuhusu...

Gavana kwa mda wa Maniema , Afani Idrisa Mangala, alisema ku tarée moja mwezi wa...