Ulinzi wa Kitaifa : DRC inakaribisha mashua yake ya kwanza ya doria ya bahari

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo sasa ina meli ya doria ya juu kwa utetezi ya eneo lake. Sherehe ya kukaribishwa kwake ilifanyika leo hii Siku ya kwanza Mach taré kumi, 2025 katika port ya Boma katika Jimbo ya Kongo Central. 

Redaction

11 Tatu 2025 - 06:40
11 Tatu 2025 - 06:41
 0
Ulinzi wa Kitaifa : DRC inakaribisha mashua yake ya kwanza ya doria ya bahari

Biongozi kadhaa walishiriki katika sherehe hii, pamoja na Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Ulinzi wa Kitaifa na Veterans, Guy Kabombo Muadiamvita, Mkuu wa wa Fardc, Lieutenant-General Ychaligonza Nduru, Kikosi cha Wafanyikazi wakuu, Amiral Kuyandi Lukombo na gavana mfuataye  wa kongo - central ,  Prosper ntela.

Inaitwa « Alternance pacifique du 24 Januari 2019 » doria iyi itasaidia shughuli ya kijeshi Ya vikosi vya jeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika dhamira yao ya kutetea eneo ya kitaifa ya nchi. 

Mashua hii ya vita inafika kwa wakati unaofaa, kwani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ina shambuliwa  na vita ya uchokozi na Jeshi ya Rwanda na wasaidizi wake ambao hudhibiti maeneo kadhaa ya nchi

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.