DRC: Korti kuu ya jeshi ina muhukumu Joseph Kabila kuuwawa na kukamatwa kwake mara moja  

Korti kuu ya jeshi ilitowa uamuzi wa kihistoria mnamo Jumanne, Septemba 30, Joseph Kabila alihukumiwa adhabu ya kifo na hati ya kukamatwa mara moja ilitolewa ju yake.

Redaction

1 Mwezi wa kumi 2025 - 08:38
1 Mwezi wa kumi 2025 - 08:40
 0
DRC: Korti kuu ya jeshi ina muhukumu Joseph Kabila kuuwawa na kukamatwa kwake mara moja  

Sheria ya kijeshi ya Kongo imemtambua Rais wa zamani wa Jamhuri na hatia haswa ya uhalifu wa kivita, ubakaji, mauaji, msamaha, usaliti, njama, uenezi wa vitendo vya uhalifu wa kivita.

Kulingana na uamuzi huo, Kabila ameteuliwa kama "mkuu wa umoja wa AFC/M23" na alipatikana na hatia ya kushiriki katika harakati ya uhamasishaji, uhalifu wa kivita na uhalifu ju ya ubinadamu, kisha masambo  ya miezi tatu.  

Korti inabaini kuwa ijapokuwa alitumia urais, Kabila "alikuwa kiongozi  msimamo wa magundi zote ya waasi" zilizofanywa tangu uasi wa Mutebusi na kuhimiza hatua yao kwa kuhungana na Rwanda.  

alakini, mamlaka inakataa kuagiza mshtuko wa mali yake, kwa kuzingatia kukosekana kwa msingi wa kisheria wa hatua hii katika faili hii.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.