Kinshasa: Watu 30 walikamatwa wakati wa kufungwa kwa pamoja na PNC- FARDC uko Baramoto
Operesheni ya pamoja ya Vikosi ya Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (FARDC) na Polisi wa Kitaifa wa Kongo (PNC) ilisababisha kukamatwa kwa watu makumi tatu(30) usiku wa Jumamosi Agosti 16 hadi Jumapili apa Kinshasa.
Kitendo hiki ni awamu ya pili ya kufungwa mchanganyiko uliozinduliwa kandokando ya Mto wa Kongo, haswa Baramoto, kaskazini mwa mji mkuu.
Kulingana na taarifa rasmi ya waandishi wa habari wa PNC, watu waliokamatwa waliwekwa kwa ukali. Ni wale tu wanaotambuliwa kwa kuhusika kwao katika vitendo ya uhalifu ndiyo waliokamatwa .
Wengine, walidhaniwa kuwa hawahusike au wanasubiri ukaguzi, waliachiliwa.
"Wale 30 waliokamatwa walihamishwa kwenye mkoa wa 14 wa jeshi," polisi walisema.
Operesheni hii ya mfumo na juhudi ya pamoja ya kupata maeneo ya kimkakati ya jiji na mapambano ju ya uhalifu wa mijini, haswa katika nafasi ya bandari mara nyingi hutumika kama sehemu ya usafirishaji kwa shughuli mbali mbali.
