Kinshasa:  Mahakama ya Rufaa ya Kinshasa inamrekebisha Godé Mpoyi mkuu wa Bunge la Jimbo

Vyanzo kadhaa vinathibitisha kurekebishwa kwa Godé Mpoyi mkuu wa Bunge la Jimbo ya  Kinshasa (APK) Siku ya kwanza hii, Julai taré makumi mbili n'a iné, 2023 na Mahakama ya Rufaa ya Kinshasa.

Redaction

25 Mwezi wa Saba 2023 - 09:43
 0
Kinshasa:  Mahakama ya Rufaa ya Kinshasa inamrekebisha Godé Mpoyi mkuu wa Bunge la Jimbo

Rais wa bunge la mkoa wa jimbo la mji Wa Kinshasa, alifutwa kazi siku ya Ijumaa Julai taré saba ya mwaka huu. Mtu ambaye alijaribu kupigana na Gentiny Ngobila alianguka kutokana na kura za manaibu wa majimbo makumi tatu n'a ine kati ya makumi ine n'a moja waliohudhuria kikao cha Siku iyo .

Kuangushwa kwa Gode Mpoyi kulifuatia hoja ya kutokuwa na imani iliyoanzishwa dhidi yake na kundi la manaibu wa mkoa, waliomtuhumu kwa uzembe na usimamizi mbovu wa mkuu wa baraza hili la mkoa.

Je, Gentiny Ngobila anapaswa kuogopa ukarabati wa namba moja Wa Mbunge wa Mkoa ?

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.