Jaribio ya Bukanga Lonzo: Matata Ponyo, Gilbert Christo na Deogracias Mutombo wame shtakiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya dola milionim miya mbili (200.)

Mwanasheria Mkuu katika Mahakama ya Kikatiba aliwasilisha kwa Mahakama faili za kusikilizwa kwa kesi ya bustani ya kilimo ya Bukanga Lonzo. Matata Ponyo, Gilbert Christo na Deogracias Mutombo waliotajwa katika kesi hii, wanatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya dola milioni miya mbili(200.)

Redaction

14 Mwezi wa Saba 2023 - 15:29
 0
Jaribio ya Bukanga Lonzo: Matata Ponyo, Gilbert Christo na Deogracias Mutombo wame shtakiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya dola milionim miya mbili (200.)

Kwa mujibu wa vipengele vinavyomilikiwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Mahakama ya Katiba, Augustin Matata Ponyo na Mwafrika Kusini Gilbert Christo wana daiwa kufuja jumla ya dola za Marekani 115,997,106.00 zilizotolewa kwa kampuni ya Afrika Kusini ya Africom Commodities.

Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Kongo, Deogracias Mutombo na Waziri Mkuu wa zamani wanatuhumiwa kwa ubadhirifu wa dola za Marekani milioni makumi nane n'a kenda (89) zilizokusudiwa kwa ajili ya ujenzi wa soko la kimataifa la Kinshasa.

Katika mawasiliano yake, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mukolo Nkokesha Jean-Paul, anamwomba Rais wa Mahakama ya Katiba kupanga siku, tarehe na saa ambapo kesi hii itaitishwa kusikilizwa kwa mbeli ya umma.

Deogratias Mutombo, gavana wa zamani wa benki kuu, anapanda kizimbani wakati mawaziri wawili wa zamani waliokuwa watuhumiwa, Wivine Mumba na Patrice Kitebi, hawaonekani tena kuwa mbele ya cheria ya congo.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.