DRC: Mpango wa utawala wa Adolphe Muzito (2024-2028) unakadiriwa kuwa dola bilioni miya tatu kwa miaka kumi

Tofauti na wagombea wengine, mgombea Rais wa Jamhuri, Adolphe Muzito, aliwasilisha kwa vyombo vya habari ofa yake ya kisiasa ambayo inahusu miaka kumi ijayo na bajeti inayokadiriwa kuwa dola bilioni miya tatu.

Redaction

24 Mwezi wa kumi n'a moja 2023 - 08:04
 0
DRC: Mpango wa utawala wa Adolphe Muzito (2024-2028) unakadiriwa kuwa dola bilioni miya tatu kwa miaka kumi

Alitoa mada hii Jumatano hii, Novemba makumi mbili na mbili 2023 mjini Kinshasa.

Kwa Waziri Mkuu wa zamani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inahitaji bajeti ya dola bilioni miya tatu kwa ajili ya kuondoka katika miaka kumi ijayo.

Kwa miaka mitano ijayo, kuanzia 2024 hadi 2028, rais wa chama cha siasa cha Nouvel Elan anapanga kutumia bilioni miya na makumi mbili (120 )na bilioni miya makumi nane(180) kutoka 2028 hadi 2033, na gharama zilizoainishwa vizuri na za kushangaza.

Adolphe Muzito anatabiri ukuaji wa bajeti hadi kufikia dola bilioni kumi (10 )kila mwaka, au uhamasishaji wa bilioni miya moja(100) kwa miaka kumi (10). Pia, kila baada ya miaka kumi,  bilioni makumi mbili na moja (21) mnamo 2024, bilioni 22.3 mnamo 2025, bilioni 23.9 mnamo 2025, bilioni 25 mnamo 2026 na bilioni 27.8 mnamo 2028.

Waziri Mkuu huyo wa zamani aliahidi bajeti kubwa ya kilimo, jeshi na malipo ya watumishi wa umma katika muongo ujao.

Pia aliandaa pendekezo la mageuzi makumi sita(60) katika sekta zote za maisha nchini DRC.

Katika hafla hiyo hiyo, mgombea nambari 24 alichukua fursa ya kuzindua kampeni yake ya uchaguzi katika jiji la Kinshasa, kwa sababu, alisema, "ni hapa ambapo kuna watu wengi wasio na ajira".

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.