Uchaguzi wa 2023: amana kwa ajili ya uchaguzi wa rais imiwekwa faranga milioni miya na sitini  za congo

Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi itafanya kazi ofisi za kupokea na kushughulikia wagombea wa uchaguzi wa urais mnamo Septemba taré tisa ijayo.

Redaction

30 mwezi ya nane 2023 - 22:39
 0
Uchaguzi wa 2023: amana kwa ajili ya uchaguzi wa rais imiwekwa faranga milioni miya na sitini  za congo

Amana ya kutuma maombi kwa uchaguzi wa urais wa 2023 imewekwa kuwa CDF 160,000,000 (faranga za congo milioni mia moja na sitini) au karibu dola elfu 64 za Kimarekani. Imepungua ikilinganishwa na mchakato wa uchaguzi wa 2018, ambapo amana ya wagombea urais wa Jamhuri iliwekwa kuwa USD 100,000.

CENI, katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyochapishwa Jumanne Agosti makumi tatu, 2023, iliweka hadharani masharti ya ombi kuchaguliwa. Miongoni mwa mambo mengine, kuwa wa utaifa wa congo, kuwa na umri wa angalau miaka thelathini na kuwa na diploma ya juu au chuo kikuu au kuwa na uzoefu wa kitaaluma wa angalau miaka 5 katika nyanja ya kisiasa, kiutawala au kijamii na kiuchumi, ni baadhi ya masharti yaliyowekwa na CENI.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.