Kivu Kusini :  Nyumba miya sita(600) zimeungua katika moto mpya huko Bukavu

Nyumba mia sita za makao zimeteketea kufuatia moto mpya uliotokea Jumamosi Juni 1, 2023 katika wilaya ya Kadutu, jiji la Bukavu, jimbo la Kivu Kusini.

Redaction

5 Juin 2023 - 12:09
 0
Kivu Kusini :  Nyumba miya sita(600) zimeungua katika moto mpya huko Bukavu

Sababu kuu ya moto huu haijawekwa wazi.

« Tunaona ni janga. Ni vigumu kuanzisha uwiano halisi sasa. Hasara ni kubwa sana. Tuko katika harakati za kuwabaini wahanga na sababu za moto huu » alisema naibu meya wa wilaya ya Kadutu, Emmanuel Majivuno Kalimba.

Kwa upande wake, jumuiya za kiraia za mitaa zinaonyesha kuwa angalau familia elfu mbili (2,000 )zingeathirika wakati wa janga hili.

Mkoa wa Kivu Kusini ulikuwa mwathirika wa mafuriko mnamo Mei 4, na kusababisha vifo vya takibian miya tano(500) na watu kadhaa kupotea huko Kalehe.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.