Kinshasa: Mchungaji Pierre Kas alihamishiwa Makala

Akiwa amezuiliwa katika seli ya mwendesha mashtaka mkuu katika Mahakama ya Rufaa ya Kinshasa, Mchungaji Pierre Kasongo Kasambakana alihamishwa kwenye gereza kuu ya Makala Jumanne Januari makumi mbili n'a ine 2024.

Redaction

24 mwezi wa kwanza 2024 - 15:50
 0
Kinshasa: Mchungaji Pierre Kas alihamishiwa Makala

Mchungaji Daniel Mabiala, baba wa msichana mdogo Meda ambaye ndoa yake ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii, pia alihamishiwa katika gereza ya Kinshasa Pénitentiaire Pia ya mafundisho mpia (CPRK) iliyokuwa gereza kuu la Makala.

Msimamizu  wa  kwanza wa Kanisa la kwanza anashutumiwa kwa kuchukua wasichana kadhaa wadogo kama wake. Mchungaji huyo angekuwa katika ndoa yake ya 17, kulingana na vyanzo kadhaa.

Mchungaji Pierre Kas yuko katika hatari kubwa, kwani mfumo wa haki wa Kongo haujawa na huruma kwa wahusika wa ubakaji ya wa watoto kwa muda. Sheria inatoa adhabu ya kifungo cha miaka tano hadi makumi mbili ya jela, pamoja na faini kubwa.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.