DRC: Vital Kamerhe aliteuliwa mgombeaji wa Muungano Mtakatifu kuwa rais wa Bunge la Kitaifa

Ma naibu wa kitaifa wa Muungano Mtakatifu walimchagua Vital Kamerhe kuwa wakilisha kama rais wa Bunge la Kitaifa. Rais wa UNC alishinda kwa zaidi ya kura miya makumi nane n'a tatu ya sauti(183).

Redaction

24 mwezi ya iné 2024 - 11:03
 0
DRC: Vital Kamerhe aliteuliwa mgombeaji wa Muungano Mtakatifu kuwa rais wa Bunge la Kitaifa

Christophe Mboso na Modeste Bahati walikuwa wa pili na watatu mtawalia kwa kura kumi na moja(11 ) na makumi sita na tisane(69). Kura chache tupu zilirekodiwa. Jumla ya manaibu miya tatu makumi saba na mbili (372 )kutoka Muungano Mtakatifu wa Taifa walishiriki katika uchaguzi huu wa mchujo.

Kwa hivyo, Muungano Mtakatifu utamuunga mkono Vital Kamerhe kugombea urais wa Bunge la Kitaifa, ambaye ameahidi mageuzi kadhaa kwa baraza la chini la Bunge.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.