DRC:  Mgombea ugavana  wa Kwilu Steve Mabiku si yo wakala tena katika CENI

Si kweli, mgombea ugavana wa Kwilu, Steve Mabiku siyo wakala tena katika Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (CENI). Alimaliza huduma zake mwaka jana na Denis Kadima alizingatia hili.

Redaction

22 Tatu 2024 - 14:19
 0
DRC:  Mgombea ugavana  wa Kwilu Steve Mabiku si yo wakala tena katika CENI

Mzaliwa huyu wa Bandundu-Ville, mji mkuu wa jimbo la Kwilu, anatuhumiwa kwa uwongo na watu wenye nia mbaya kuwa ni msaidizi wa kiufundi, anayesimamia katibu mkuu wa taifa wa CENI na kutaka kuwachukua kwa nguvu mamlaka ya jimbo ya Kwilu.

Watu hawa wenye nia mbaya, wanaojidai kuwa wanachama wa Muungano Mtakatifu, bila uthibitisho, wana sema wongokwenye mtandao ili kupata ubadili wa ugombea wa Steve Mabiku.

Tulimpata kupitiya   timu yetu ya wahariri, Steve Mabiku anazua woga na taarifa potofu kuhusu kugombea kwake.

Kwa nini wanaogopa? Kwa nini ugombea wangu ulete mvutano? Ni kawaida, anatambua tunachowakilisha jimbo hili. Ni wakati wa Kwilu kukarabatiwa na maendeleo. Tutaenda hadi mwisho kwa sababu tunaungwa mkono na wananchi na sisi ni mgombea ambaye wananchi wamemchagua,” alitangaza.

Ugombea huu ukiwasumbua baadhi ya watu, ma rais wa shirikisho halali wa vyama vya siasa wanachama wa Umoja wa Kitaifa wa Jimbo la Kwilu wamemchagua Steve Mabiku. Katika taarifa yao kwa umma wikendi iliyopita, waliomba mgombea wao aidhinishwe na mkuu wa nchi.

Uchaguzi wa ma gavana na makamu wa magavana umepangwa kufanyika Aprili makumi mbili n'a nane . Kwilu, inaweza kucheleweshwa kwa uchaguzi wa wabunge wa kitaifa na mkoa katika eneo bunge la Masimanimba.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.