Vita Mashariki: "DRC inakataa kuzungmuza na M23", Félix Tshisekedi

Baada ya mazungumzo yake ya ana kwa ana na Cyril Ramaphosa, Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini Siku ya iné hii, taré sita mwezi Wa saba mjini Kinshasa, Félix Tshisekedi alisisitiza uamuzi wake thabiti wa kutozungumza na magaidi wa M23 wanaodhibiti miji kadhaa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo zaidi ya mwaka mmoja.

Redaction

6 Mwezi wa Saba 2023 - 17:26
 0
Vita Mashariki: "DRC inakataa kuzungmuza na M23", Félix Tshisekedi

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo alichukua fursa hiyo kuishtaki Rwanda ambayo, inayoshukiwa kuwa nyuma ya M23, imekuwa ikikabiliwa na mashambulizi ambayo imekuwa ikizalisha katika ardhi ya Kongo kwa miaka kadhaa.

"Rwanda inaichi tu na uchokozi wa mara kwa mara kutoka DRC. Kukosekana kwa amani huku DRC kuna nufaisha Rwanda kwa kiasi kikubwa na kiuchumi (…), ndiyo maana Rwanda haitataka kamwe kujadili, ndiyo maana DRC inakataa kujadiliana na vibaraka hawa wa M23”, alisema.

Félix Tshisekedi, wakati huo huo, alithibitisha hamu ya Kinshasa kujadiliana na Kigali, lakini kwa sharti kwamba Rwanda ya Paul Kagame ikubali jukumu lake katika kuvuruga eneo la mashariki mwa DRC na M23.

"Hii ni mara ya kwanza nasikia kwamba tunakataa kujadili na Rwanda," aliongeza.

Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda karibu kufa tangu kuchukuliwa kwa mji wa Bunagana na M23. Kinshasa hata ilimfukuza balozi wa "rafiki-adui" wake wa milele, Vincent Karega.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.