Mafuriko apa Kinshasa: watu sita  wamekufa na zaidi ya watu elfu makumi ine wameathiriwa

Kuongezeka kwa maji ya Mto Kongo husababisha uharibifu wa nyenzo na vifo huko Kinshasa. Kulingana na abari  iliyoripotiwa na diocese  ya Kinshasa, watu sita wamekufa tangu kuanza kwa mafuriko haya katika pembe fulani za mji mkuu.

Redaction

13 mwezi wa kwanza 2024 - 19:41
 0
Mafuriko apa Kinshasa: watu sita  wamekufa na zaidi ya watu elfu makumi ine wameathiriwa

Jumla ya watu makumi ine miya saba n'a kumu(40,710) wameathiriwa na kuongezeka kwa maji ya Mto Kongo katika wilaya tano za mji mkuu wa Kongo, ambazo ni Limete, Mont-ngafula, Barumbu na Masina, inaripoti huduma ya Jimbo la Diakonia la Kanisa Katolika.


Katikati ya mji mkuu wa Kongo katika wilaya ya Barumbu, njia fulani zinabadilishwa kuwa mutoni. Mtumbu ndiyo inasahidiya  kutumika kama njia ya kuvuka kwa kiasi cha pesa miya tano ya kongo(FC 500 kwa kila mpita ndjiya).

Katika maeneo mengine kama vile katika wilaya ya Ngaliema, maji ya mto yalifikia zaidi ya meta kumi (10) kwa urefu, n'a uku  iliaribu nyumba za orofa mbili. Na hali hiyohiyo inazingatiwa katika jiji jirani la Brazzaville.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.