Urais: Mahakama ya kikatiba yathibitisha kuchaguliwa tena kwa Félix Antoine Tshisekedi

Katika hali isiyo ya kushangaza, Mahakama ya Kikatiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemthibitisha hivi punde Félix Antoine Tshisekedi kama rais aliyechaguliwa tena kwa asilimia 73.47 ya kura.

Redaction

10 mwezi wa kwanza 2024 - 10:18
 0
Urais: Mahakama ya kikatiba yathibitisha kuchaguliwa tena kwa Félix Antoine Tshisekedi

Alikuwa Rais wa Mahakama ya Kikatiba, Dieudonné Kamuleta, ambaye alitangaza moja kwa moja kwenye televisheni ya taifa jioni ya Jumanne, Januari taré kenda.

Baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa na CENI, ni zamu ya mahakama ya kikatiba kutoa uamuzi ili kukamilisha mchakato huu wa uchaguzi Desemba 2023.

Mahakama pia itatoa uamuzi kuhusu kesi za ukiukwaji wa sheria zilizobainishwa na kukashifiwa na upinzani na viongozi fulani wa maoni.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.