Tanganyika : Baraza la bunge ya jimbo ina amua ju kotolewa ku madalaka ya gavana Julie Ngungwa
Havana wa Jimbo ya Tanganyika, Julie Ngungwa, alitolewa na mbunge la jimbo Léo siku ya kwanza taré nane mwezi wa tano msingi « sifa mbaya yakutokuwa n'a uwezo pia n'a uongozi mbaya ».
wanabunge kumi n'a iné(14) wali tshaguwa ju ya kumutowa gavana wa jimbo la Tanganyika ku kiwango kya makumi mbili n'a tano(25) ya wanabunge wenye ku keti kwenye baraza ya Jimbo
Julie Ngangwa wenye Ali mgombiwa Zoé Kabila, mdogo wa Raîsi wazamani wa jamuhuri ya kidemocratia ya Congo, ku mwaka elfu makumi mbili- n'a mbili(2022) kisha kuondoshwa kwake ba wanabunge wa jimbo la Tanganyika, mwenye vile balimuseya ya kwamba ajuwe kutumika kazi.