Bunge la Jimbo ya Kinshasa: Godé Mpoyi ameondoshwa

Rais wa bunge la jimbo la mji ya Kinshasa, Godé Mpoyi Kadima, amefutwa Ku kazi leo Siku ya tano taré saba mwezi Wa saba.

Redaction

7 Mwezi wa Saba 2023 - 20:34
 0
Bunge la Jimbo ya Kinshasa: Godé Mpoyi ameondoshwa

Yéyé ni mumoja  ambaye alijaribu kupingana na Gentiny Ngobila alifukuzwa kazini  na manaibu wa majimbo makumi tatu n'a iné  kati ya makumi ine n'a moja waliokuwepo kwenye kikao cha leo.

Kuangushwa kwa Gode Mpoyi kunatokana na mastaki yenye ili tungwa na gundi moja ya manaibu Wa jimbo waomustaki kwa uzembe na usimamizi mbovu wa mkuu wa baraza hili la mkoa.

Gavana wa jiji la Kinshasa anatokeya mshindi kutoka kwa mzozo na rais wa Bunge la Mkoa. Wanaume hao wawili walikuwa wamefanya amani hadharani.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.