RDC : Aminata Namasia alizinduwa kwa wazi mityani ya hors session ya mashindano ya serkali pâle ku tshule Marie Immaculée ya Kinshasa

Waziri mfutwaye wa masomo ya primari , secondaire  n'a kiufundi (EPST), Aminata namasia Bazengo aliweka wazi mazinduzi ya mtyani ya mashindano ya mwanzo ya serkal mwaka elfu makumi mbili n'a mbili- makumi mbili n'a tatu Léo siku ya kwanza taré nane mwezi wa tano apa  Kinshasa , ku tshule Marie Immaculée ndani ya commune ya N'sele  Kinshasa mji mkuu wa jamuhuru ya kidemocratia ya Congo.

Redaction

8 Tano 2023 - 07:54
 0
RDC : Aminata Namasia alizinduwa kwa wazi mityani ya hors session ya mashindano ya serkali pâle ku tshule Marie Immaculée ya Kinshasa

Waziri  mfwatayo wa EPST, n'a kwa bahati iyo alionesha yakwamba mashindano iyo ya serkali ili tayarishwa ndani ya mpango ya calendari ya mafunzo ju ya tathmin ya mwanafunzi.

« Mtyani ya mwanzo , ina stahiri ionekane kama kipimo kia elimu  ya mafunzo yenye walipata tangu somo la pré scolaire mpaka  ku mwisho wa somo la secondari. Nita furai kuona majibu yenye itatokeya , itaenda Sawa n'a elimu ta mwanafunzi » alisema Aminata Namasia Bazengo pale ku tshule Marie Immaculée yenye inapatikana ndani ya commune ya N'sele .

Ju ya mtyani iyi ya hors session yenye ina anza kwa Léo n'a dissertation française itafanyika kuanziya Léo tarée nane mpaka taré makumi mbili mwenzi wa tano ya mwaka uyu Kisha dissertation française, wa finalistes awa wata fanya vile mtyani ingine  asa vile, kusema ki franca , makazi ya mkono, ama jury pratique n'a tena mtyani traditionnelle ju ya wa techinicien.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.