Mchakato wa uchaguzi: Ana kwa ana kati ya Denis Kadima na Adolphe Muzito Leo iyi Siku ya kwanza apa Kinshasa

Baada ya Fayulu, Matata, Sesanga na Moïse Katumbi (waliowakilishwa), rais wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ata zungumza n' na rais wa chama cha siasa cha nouvelElan,  Leo iyi Siku ya kwanza taré tatu mwezi Wa saba 2023 mjini Kinshasa.

Redaction

3 Mwezi wa Saba 2023 - 11:09
 0
Mchakato wa uchaguzi: Ana kwa ana kati ya Denis Kadima na Adolphe Muzito Leo iyi Siku ya kwanza apa Kinshasa

Uso kwa uso kati ya Denis Kadima na Adolphe Muzito itaangazia mchakato wa uchaguzi unaoendelea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo uliokataliwa na wapinzani kadhaa.

"Nitapokea, Siku ya kwanza hii taré tatu mwezi Wa saba 2023 pa saa iné alfajiri katika Hoteli ya Congo River, Rais wa chama cha siasa cha Nouvel Elan, Bwana Adolphe Muzito, ili kujadili mchakato unaoendelea wa uchaguzi", aliandika rais wa CENI. kwenye ukuta wake wa Twitter.

Na Denis Kadima Jumapili Ijumaa, Juni 30,iliyopita  wapinzani walikuwa wamedai ukaguzi wa rejista ya uchaguzi, muundo mpya wa CENI na Mahakama ya Kikatiba. Adolphe Muzito angeweza kufuata nyayo za Fayulu, Katumbi, Sesanga na Matata.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.