Utekaji apa mji Kinshasa:  Polisi wanamtaka yeyote anayemtambua mmoja wa watu kwenye picha hizi kuwasilisha malalamiko ili kumfungulia mashtaki

Polisi wa kitaifa wa congo katika mji wa Kinshasa wameweka hadharani orodha (picha na majina) ya watekaji  wanaotuhumiwa kukamatwa katika mji mkuu wa congo baada ya operesheni kadhaa kutekelezwa ardhini.

Redaction

4 Mwezi wa Saba 2023 - 09:09
 0
Utekaji apa mji Kinshasa:  Polisi wanamtaka yeyote anayemtambua mmoja wa watu kwenye picha hizi kuwasilisha malalamiko ili kumfungulia mashtaki

PNC nyenye inaoongozwa na generali Sylvano Kasongo inamtaka yeyote anayemtambua mmoja wa watekaji  kwenye orodha yake kufika katika ofisi zake zilizo karibu na ISC Gombe ili kuwasilisha malalamiko yao.

« Kituo cha polisi cha mkoa kinamtaka yeyote anayemtambua mmoja wa watu katika picha hizi kufika katika ofisi zao zilipo barabara ya Dracena katika mtaa wa Gombe karibu na ISC ili kuwasilisha malalamiko yao ili kuwafungulia mashtaki ».

apa Kinshasa, utekaji  umeenea. Haipiti siku bila kesi ya utekaji kuripotiwa kwenye mitandao ya kijamii. Baadhi ya watekaji  hata wanadai feza kutoka kwa familia za wahasiriwa.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.