Kinshasa: serikali inasimamisha shughuli zote zisizo za michezo katika viwanja vya Martyrs na Tata Raphaël
Hadi ilani nyingine, hakutakuwa shughuli zisizo za mtshezo zitafanyika katika viwanja vya Martyrs na Tata Raphaël. Hayo yalitangazwa na Naibu Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemin Shabani kisha mkutano wa mgogoro uliofanyika Jumapili.
Mamlaka inataka kwanza kuimarisha kanuni ili kuepusha vifo vipya, ilibainisha VPM ya Mambo ya Ndani, ambayo inatokana na atari iliotokea Jumamosi Julai makumi mbili n'a Saba kwenye tamasha la Mike Kalambay.
Shughuli kadhaa za kitamaduni, hata hivyo, zimepangwa katika viwanja vyake viwili vikubwa. Festigola iliyopangwa kufanyika Agosti taré mbili hadi taré ine kwa hiyo imeghairiwa. Tamasha la washiriki wa Fally Ipupa pia lililopangwa kufanyika Agosti taré kumi na kumi Na moja katika uwanja wa Martyrs pia limekatishwa.
Msanii wa muziki Gally Garvey pia amepanga onyesho kubwa Agosti taré makumi tatu na moja. Tukio ambalo linaweza lisifanyike.
