DRC: Vyeti ya mafanikio ya Exetat 2024 sasa vinapatikana kwenye mitandao ya mawasiliano

Katika taarifa kwa vyombo ya habari iliyopokelewa Siku ya pili Agosti tare makumi mbili na Une.cd, ukaguzi wa jumla ya Wizara ya Elimu ya Kitaifa na Uraia Mpya, ulitangaza kuwa vyeti ya kufaulu kwa mtihani wa Jimbo, toleo la 2023-2024 vinapatikana mtandaoni ,na  inapatikana kwa njia zote  ya mawasiliano ya simu.

Redaction

20 mwezi ya nane 2024 - 16:13
20 mwezi ya nane 2024 - 16:14
 0
DRC: Vyeti ya mafanikio ya Exetat 2024 sasa vinapatikana kwenye mitandao ya mawasiliano

Waombaji watahitaji kufuata utaratibu ufuatao, kulingana na mitandao yao ya simu.

• Vodacom: *42202#  
• Airtel:        *4122#
• Orange :    *4040#
• Africell:     *41400#

Ifuatayo ni taarifa kwa vyombo vya habari kutoka kwa Inspekta Jenerali

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.