DRC: Denis Mukwege atahutubia Wa kongomani Jumatatu hii

Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Denis Mukwege atahutubia watu wa Kongomani Jumatatu Oktoba tare mbili huko Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Tangazo hilo lilitolewa na ofisi ya Mukwege Ijumaa hii, Septemba makumi mbili na tisa 2023 kupitia taarifa kwa vyombo vya habari, ambayo nakala yake iliwafikia wahariri wa Une.cd.

Redaction

30 mwezi wa kenda 2023 - 14:43
 0
DRC: Denis Mukwege atahutubia Wa kongomani Jumatatu hii

Dénis Mukwege atazindua ujumbe Wa  muhimu kwa maisha na mustakabali wa wa congomani, ilisema taarifa hiyo kwa vyombo vya habari.

Tuzo ya Amani ya Nobel ita toa utba kwa wa Kongomani ujumbe muhimu kwa maisha na mustakabali wa Taifa letu. Tukio maalum kwa hotuba hii litafanyika Kinshasa Jumatatu Oktoba taré mbili, 2023 pa saa 12 p.m. katika ukumbi mkubwa wa parokia ya Fatima, katika wilaya ya Gombe," ilisema taarifa kwa vyombo vya habari.

Vyanzo kadhaa vimetangaza kuwasilishwa kwa karibu kwa Dénis Mukwege kugombea urais wa Desemba, suala hilo linabaki kufuatwa.

Redaction UNE.CD est un média en ligne basé à Kinshasa, capitale de la République Démocratique du Congo, qui collecte, traite et diffuse des informations générales de la RDC, l'Afrique et le Monde. Grâce à nous, l'actualité vous suit partout en temps réel sur votre téléphone, tablette et ordinateur en un seul clic.